Waamuzi 20:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC44 Wakauawa Wabenyamini elfu kumi na nane, hao wote walikuwa ni wapiganaji hodari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Siku hiyo watu 18,000 wa kabila la Benyamini, wote askari hodari, waliuawa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Siku hiyo watu 18,000 wa kabila la Benyamini, wote askari hodari, waliuawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Siku hiyo watu 18,000 wa kabila la Benyamini, wote askari hodari, waliuawa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 Wakaanguka Wabenyamini elfu kumi na nane, wote wapiganaji hodari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 Wakaanguka Wabenyamini 18,000 ambao wote ni mashujaa. Tazama sura |