Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waamuzi 20:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

43 Waliwazingira Wabenyamini pande zote na kuwafukuza, na kuwakanyagakanyaga hapo walipopumzika, hadi upande wa mashariki mwa Gibea.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Waisraeli waliwazingira watu wa kabila la Benyamini, wakawafuatia kutoka Noha hadi mashariki ya mji wa Gibea wakiwaua wengi wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Waisraeli waliwazingira watu wa kabila la Benyamini, wakawafuatia kutoka Noha hadi mashariki ya mji wa Gibea wakiwaua wengi wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Waisraeli waliwazingira watu wa kabila la Benyamini, wakawafuatia kutoka Noha hadi mashariki ya mji wa Gibea wakiwaua wengi wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Wakawazingira Wabenyamini pande zote, wakawafuatia na kuwafikia karibu na Gibea upande wa mashariki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Wakawazingira Wabenyamini pande zote, wakawafuatia na kuwapata hapo walipopumzika katika viunga vya Gibea upande wa mashariki.

Tazama sura Nakili

Waamuzi 20:43
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ee Israeli, umefanya dhambi tangu siku za Gibea; huko ndiko walikosimama; Je, vita juu ya wana wa uovu hakitawapata katika Gibea?

Wamejiharibu mno, kama katika siku za Gibea; ataukumbuka uovu wao, atazilipiza dhambi zao.

Wakauawa Wabenyamini elfu kumi na nane, hao wote walikuwa ni wapiganaji hodari.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo