Waamuzi 20:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Basi wana wa Benyamini waliona kuwa wamepigwa; kwa kuwa watu wa Israeli wakaondoka mbele ya Benyamini, kwa sababu walikuwa wanawatumaini hao wenye kuvizia waliokuwa wamewaweka kinyume cha Gibea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Hivyo watu wa kabila la Benyamini wakaona kwamba wameshindwa. Waisraeli walirudi nyuma kana kwamba wanawakimbia watu wa kabila la Benyamini, kwani walitegemea wenzao waliokuwa wamewekwa kuotea mji wa Gibea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Hivyo watu wa kabila la Benyamini wakaona kwamba wameshindwa. Waisraeli walirudi nyuma kana kwamba wanawakimbia watu wa kabila la Benyamini, kwani walitegemea wenzao waliokuwa wamewekwa kuotea mji wa Gibea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Hivyo watu wa kabila la Benyamini wakaona kwamba wameshindwa. Waisraeli walirudi nyuma kana kwamba wanawakimbia watu wa kabila la Benyamini, kwani walitegemea wenzao waliokuwa wamewekwa kuotea mji wa Gibea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Hivyo Wabenyamini wakaona kuwa wameshindwa. Basi Waisraeli walikuwa wamewaondokea Wabenyamini, kwa sababu Waisraeli waliwategemea hao waviziaji waliokuwa wamewaweka karibu na Gibea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Hivyo Wabenyamini wakaona kuwa wamepigwa. Basi Waisraeli walikuwa wameondoka mbele ya Wabenyamini, kwa sababu Waisraeli waliwategemea hao waviziaji waliokuwa wamewaweka dhidi ya Gibea. Tazama sura |