Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waamuzi 20:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 Basi wana wa Israeli wakakwea kwenda kupigana na wana wa Benyamini siku ya tatu, wakajipanga ili kupigana na Gibea, kama walivyofanya hapo awali.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Waisraeli wakaenda kupigana na watu wa kabila la Benyamini katika siku ya tatu. Wakajipanga dhidi ya mji wa Gibea kama walivyofanya nyakati za hapo awali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Waisraeli wakaenda kupigana na watu wa kabila la Benyamini katika siku ya tatu. Wakajipanga dhidi ya mji wa Gibea kama walivyofanya nyakati za hapo awali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Waisraeli wakaenda kupigana na watu wa kabila la Benyamini katika siku ya tatu. Wakajipanga dhidi ya mji wa Gibea kama walivyofanya nyakati za hapo awali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Kisha Waisraeli wakapanda kupigana na Wabenyamini katika siku ya tatu na kuchukua nafasi zao dhidi ya Gibea kama walivyokuwa wamefanya hapo awali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Kisha Waisraeli wakapanda kupigana na Wabenyamini katika siku ya tatu na kujiweka kwenye nafasi zao dhidi ya Gibea kama walivyokuwa wamefanya hapo kwanza.

Tazama sura Nakili

Waamuzi 20:30
2 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Israeli akaweka watu wavizie kinyume cha Gibea kuuzunguka pande zote.

Nao wana wa Benyamini wakatoka waende kupigana nao, wakavutwa waende mbali na huo mji; kisha wakaanza kuwapiga na kuwaua Waisraeli wapatao thelathini, kama walivyofanya hapo awali, kwa kuwaua katika hizo njia kuu, zielekeazo Betheli, na Gibea, na katika nchi tambarare.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo