Waamuzi 20:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Kisha wana wa Israeli wakauliza kwa BWANA (kwa sababu sanduku la Agano la Mungu lilikuwako huko siku hizo, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Waisraeli wakamwomba Mwenyezi-Mungu awape shauri. Wakati huo sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilikuwa huko Betheli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Waisraeli wakamwomba Mwenyezi-Mungu awape shauri. Wakati huo sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilikuwa huko Betheli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Waisraeli wakamwomba Mwenyezi-Mungu awape shauri. Wakati huo sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilikuwa huko Betheli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Nao Waisraeli wakauliza ushauri kwa Mwenyezi Mungu. (Katika siku hizo Sanduku la Agano la Mungu lilikuwa huko, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Nao Waisraeli wakauliza ushauri kwa bwana. (Katika siku hizo Sanduku la Agano la Mungu lilikuwa huko Tazama sura |