Waamuzi 20:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Basi wana wa Israeli wakakaribia juu ya wana wa Benyamini siku ya pili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Hivyo siku ya pili Waisraeli wakakaribia kupigana na watu wa kabila la Benyamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Hivyo siku ya pili Waisraeli wakakaribia kupigana na watu wa kabila la Benyamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Hivyo siku ya pili Waisraeli wakakaribia kupigana na watu wa kabila la Benyamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Ndipo Waisraeli wakawakaribia Wabenyamini siku ya pili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Ndipo Waisraeli wakawakaribia Wabenyamini siku ya pili. Tazama sura |