Waamuzi 20:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Wana wa Israeli wakakwea juu na kulia mbele za BWANA hadi jioni; wakamwuliza BWANA, wakisema, Je! Niende nikaribie tena kupiga vita juu ya wana wa Benyamini ndugu yangu? BWANA akasema, Haya, kweeni, mwende kupigana naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Basi Waisraeli wakaenda juu, wakamlilia Mwenyezi-Mungu mpaka jioni. Kisha wakaomba shauri kwa Mwenyezi-Mungu: “Je, twende tena kupigana na ndugu zetu, wa kabila la Benyamini?” Mwenyezi-Mungu akawajibu, “Nendeni mkapigane nao.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Basi Waisraeli wakaenda juu, wakamlilia Mwenyezi-Mungu mpaka jioni. Kisha wakaomba shauri kwa Mwenyezi-Mungu: “Je, twende tena kupigana na ndugu zetu, wa kabila la Benyamini?” Mwenyezi-Mungu akawajibu, “Nendeni mkapigane nao.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Basi Waisraeli wakaenda juu, wakamlilia Mwenyezi-Mungu mpaka jioni. Kisha wakaomba shauri kwa Mwenyezi-Mungu: “Je, twende tena kupigana na ndugu zetu, wa kabila la Benyamini?” Mwenyezi-Mungu akawajibu, “Nendeni mkapigane nao.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Waisraeli wakapanda mbele za Mwenyezi Mungu na kulia mbele zake hadi jioni. Nao wakamuuliza Mwenyezi Mungu, “Je, tupande tena kupigana vita na Wabenyamini, ndugu zetu?” Mwenyezi Mungu akajibu, “Pandeni mkapigane nao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Waisraeli wakapanda mbele za bwana na kulia mbele zake mpaka jioni, nao wakamuuliza bwana wakisema, “Je, tupande tena kupigana vita na Wabenyamini, ndugu zetu?” bwana akajibu, “Pandeni mkapigane nao.” Tazama sura |