Waamuzi 20:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Watu wa Israeli waliondoka ili wapigane na Benyamini; nao watu wa Israeli wakaviandaa vita juu yao huko Gibea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Waisraeli wakatoka kupigana na watu wa kabila la Benyamini karibu na Gibea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Waisraeli wakatoka kupigana na watu wa kabila la Benyamini karibu na Gibea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Waisraeli wakatoka kupigana na watu wa kabila la Benyamini karibu na Gibea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Waisraeli wakaondoka ili kupigana na Wabenyamini, nao Waisraeli wakachukua nafasi zao katika vita huko Gibea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Waisraeli wakatoka kupigana na Wabenyamini, nao Waisraeli wakajiweka kwenye nafasi zao katika vita dhidi yao huko Gibea. Tazama sura |