Waamuzi 20:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Basi wana wa Israeli waliondoka asubuhi, wakapanga hema zao ili kuvamia Gibea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Basi, Waisraeli wakaenda asubuhi, wakapiga kambi yao karibu na mji wa Gibea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Basi, Waisraeli wakaenda asubuhi, wakapiga kambi yao karibu na mji wa Gibea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Basi, Waisraeli wakaenda asubuhi, wakapiga kambi yao karibu na mji wa Gibea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kesho yake asubuhi, Waisraeli wakaamka na kupiga kambi karibu na Gibea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Asubuhi yake Waisraeli wakaamka na kupiga kambi karibu na Gibea. Tazama sura |