Waamuzi 20:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Nao watu wa Israeli, mbali na hao wa Benyamini, walihesabiwa kuwa ni wanaume elfu mia nne, wenye silaha; hao wote walikuwa ni watu wa vita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Waisraeli, licha ya wa kabila la Benyamini, walikusanya watu 400,000 wawezao kutumia silaha. Wote walikuwa hodari wa vita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Waisraeli, licha ya wa kabila la Benyamini, walikusanya watu 400,000 wawezao kutumia silaha. Wote walikuwa hodari wa vita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Waisraeli, licha ya wa kabila la Benyamini, walikusanya watu 400,000 wawezao kutumia silaha. Wote walikuwa hodari wa vita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Nao wanaume wa Israeli, mbali na hao wa Benyamini, wakakusanya wanaume elfu mia nne hodari wenye panga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Nao watu wa Israeli, mbali na hao wa Benyamini, wakakusanya watu waume 400,000, wenye kutumia panga, wote hao walikuwa mashujaa. Tazama sura |