Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Waamuzi 20:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Lakini wana wa Benyamini wakakutanika huko Gibea kutoka katika miji yao, ili watoke kwenda kupigana na wana wa Israeli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Basi walikusanyika huko Gibea kutoka katika kila mji wao, ili kupigana na Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Basi walikusanyika huko Gibea kutoka katika kila mji wao, ili kupigana na Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Basi walikusanyika huko Gibea kutoka katika kila mji wao, ili kupigana na Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Wakatoka katika miji yao, wakakutanika Gibea ili kupigana na Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Wakatoka katika miji yao, wakakutanika Gibea ili kupigana na Waisraeli.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 20:14
6 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Yeroboamu aliwazungushia waviziao kwa nyuma; basi wao wakawa mbele ya Yuda, na wale waviziao nyuma yao.


Akamwambia, Hutapita katika nchi yangu. Kisha Edomu akamtokea ili kupigana naye, na watu wengi, na kwa mkono wa nguvu.


Lakini Sihoni hakukubali kumwacha Israeli kupita katika mpaka wake; bali Sihoni akawakutanisha watu wake wote, akatoka aende kupigana na Israeli jangwani, akafika mpaka Yahasa; akapigana na Israeli.


Basi sasa watoeni watu hao, hao mabaradhuli walio katika Gibea, ili tuwaue, na kuuondoa uovu katika Israeli. Lakini Benyamini hawakukubali kuisikia sauti ya ndugu zao wana wa Israeli.


Hao wana wa Benyamini walihesabiwa siku ile kutoka hiyo miji, wanaume elfu ishirini na sita waliokuwa na silaha, mbali na hao waliokaa Gibea, ambao walihesabiwa watu wateule mia saba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo