Waamuzi 2:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Kisha Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa BWANA, akafa, naye alikuwa na umri wa miaka mia moja na kumi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Yoshua mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, alifariki akiwa na umri wa miaka 110. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Yoshua mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, alifariki akiwa na umri wa miaka 110. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Yoshua mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, alifariki akiwa na umri wa miaka 110. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Mwenyezi Mungu, akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa bwana, akafa akiwa na umri wa miaka 110. Tazama sura |