Waamuzi 2:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Basi BWANA akawaacha mataifa yale, wala hakuwafukuza kwa upesi, wala hakuwatia katika mikono ya Yoshua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Basi, Mwenyezi-Mungu akayaacha mataifa hayo, wala hakuyafukuza mara moja, wala hakumpa Yoshua ushindi juu ya mataifa hayo! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Basi, Mwenyezi-Mungu akayaacha mataifa hayo, wala hakuyafukuza mara moja, wala hakumpa Yoshua ushindi juu ya mataifa hayo! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Basi, Mwenyezi-Mungu akayaacha mataifa hayo, wala hakuyafukuza mara moja, wala hakumpa Yoshua ushindi juu ya mataifa hayo! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Mwenyezi Mungu alikuwa ameyaacha hayo mataifa yabaki; hakuyaondoa mara moja kwa kuyatia mikononi mwa Yoshua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 bwana alikuwa ameyaacha hayo mataifa yabaki; hakuyaondoa mara moja kwa kuyatia mikononi mwa Yoshua. Tazama sura |