Waamuzi 19:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Yule mtu akainuka ili aondoke; lakini mkwewe akamsihi sana, naye akalala huko tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Yule mtu aliposimama akitaka kuondoka, baba mkwe wake akamhimiza abaki, naye akabaki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Yule mtu aliposimama akitaka kuondoka, baba mkwe wake akamhimiza abaki, naye akabaki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Yule mtu aliposimama akitaka kuondoka, baba mkwe wake akamhimiza abaki, naye akabaki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Basi yule mtu alipotaka kuondoka, baba mkwe wake akamsihi, hivyo akabaki usiku ule. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Basi yule mtu alipotaka kuondoka baba wa yule msichana akamsihi, basi akabaki usiku ule. Tazama sura |