Waamuzi 18:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Naye akawaambia, Hivi na hivi ndivyo alivyonifanyia Mika, ameniajiri, nami nimekuwa kuhani wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yeye akawajibu, “Mika amefanya nami mpango; ameniajiri nami nimekuwa kuhani wake.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yeye akawajibu, “Mika amefanya nami mpango; ameniajiri nami nimekuwa kuhani wake.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yeye akawajibu, “Mika amefanya nami mpango; ameniajiri nami nimekuwa kuhani wake.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Akawaeleza yale Mika aliyomtendea, akasema, “Ameniajiri, nami ni kuhani wake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Akawaeleza yale Mika aliyomtendea, naye akasema, “Ameniajiri nami ni kuhani wake.” Tazama sura |