Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 18:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Basi wana wa Dani wakaenda zao; naye Mika alipoona ya kuwa wanamzidi nguvu, akageuka akarudi nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Mika alipoona kwamba wamemzidi nguvu, akageuka, akarudi nyumbani; nao watu wa kabila la Dani wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Mika alipoona kwamba wamemzidi nguvu, akageuka, akarudi nyumbani; nao watu wa kabila la Dani wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Mika alipoona kwamba wamemzidi nguvu, akageuka, akarudi nyumbani; nao watu wa kabila la Dani wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Basi Wadani wakaenda zao, naye Mika alipoona kuwa wana nguvu kuliko yeye, akageuka na kurudi nyumbani mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Basi Wadani wakaenda zao, naye Mika alipoona kuwa wana nguvu kumliko yeye, akageuka na kurudi nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 18:26
5 Marejeleo ya Msalaba  

Dani atahukumu watu wake, Kama moja ya makabila ya Israeli;


Akamweka mmoja katika Betheli, na wa pili akamweka katika Dani.


Basi, haya ndiyo majina ya makabila hayo; toka mwisho wa pande za kaskazini, karibu na njia ya Hethloni, hadi maingilio ya Hamathi, hadi Hasar-enoni, penye mpaka wa Dameski, yaani, upande wa kaskazini karibu na Hamathi, watakuwa na upande wa mashariki, na upande wa magharibi; Dani fungu moja.


Hao wana wa Dani wakamwambia, Hiyo sauti yako isisikike kati yetu, wasije walio na hasira wakakupiga, nawe ukapotewa na uhai wako, pamoja na uhai wa watu wa nyumbani mwako.


Nao wakakitwaa hicho alichokuwa amekifanya Mika, na kuhani aliyekuwa naye nao wakafika Laisha, kwa watu waliokuwa watulivu na wasioshuku, wakawapiga kwa makali ya upanga; wakauteketeza kwa moto mji wao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo