Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 18:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Basi wakageuka wakaenda zao, lakini watoto wadogo na wanyama wao wa kufugwa, na vyombo vyao, wakawatanguliza mbele yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Basi, wakaanza safari yao, huku wametanguliwa na watoto wao na mifugo na mali zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Basi, wakaanza safari yao, huku wametanguliwa na watoto wao na mifugo na mali zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Basi, wakaanza safari yao, huku wametanguliwa na watoto wao na mifugo na mali zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Ndipo wakageuka na kuondoka, wakiwatanguliza mbele watoto wao wadogo, mifugo na mali yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Ndipo wakageuka na kuondoka wakiwatanguliza mbele watoto wao wadogo, wanyama wao wa kufugwa na mali zao.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 18:21
5 Marejeleo ya Msalaba  

Amefika Ayathi; amepita kati ya Migroni; ameweka mizigo yake huko Mikmashi;


na Helkathi pamoja na mbuga zake za malisho, na Rehobu pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.


Huyo kuhani moyo wake ukafurahi, naye akaitwaa hiyo naivera, na kile kinyago, na hiyo sanamu ya kuchonga, akaenda katikati ya hao watu.


Walipokuwa wamekwenda kitambo kizima kutoka nyumba ya Mika, wale watu waliokuwa katika nyumba zilizokuwa karibu na nyumba ya Mika walikutana, wakawaandama na kuwapata hao wana wa Dani.


Basi Daudi akaviacha vile vyombo vyake katika mkono wa mlinda vyombo, akalikimbilia jeshi, akafika, akawasalimu ndugu zake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo