Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 18:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Hao watu mia sita wenye kuvaa silaha zao za vita, waliokuwa ni wana wa Dani, wakasimama penye maingilio ya lango.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Wakati huo, wale watu 600 wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita walisimama mlangoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Wakati huo, wale watu 600 wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita walisimama mlangoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Wakati huo, wale watu 600 wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita walisimama mlangoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Wale Wadani mia sita, wakiwa wamejifunga silaha, wakasimama penye ingilio la lango.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Wale Wadani 600, waliovaa silaha za vita, wakasimama penye ingilio la lango.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 18:16
3 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wakatoka hapo watu mia sita waliovaa silaha za vita, wa jamaa ya Wadani, kutoka Sora, na kutoka Eshtaoli.


Basi wakageuka wakaenda kuko, wakafika katika nyumba ya huyo kijana Mlawi, huko nyumbani kwa Mika, kumwamkia.


Na hao watu watano waliokwenda kuipeleleza hiyo nchi wakakwea juu, wakaingia ndani, na kuitwaa hiyo sanamu ya kuchonga, na hiyo naivera, na kile kinyago, na hiyo sanamu ya kusubu; na huyo kuhani akasimama penye maingilio ya lango pamoja na hao wanaume mia sita waliojihami.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo