Waamuzi 18:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Basi wakatoka hapo watu mia sita waliovaa silaha za vita, wa jamaa ya Wadani, kutoka Sora, na kutoka Eshtaoli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Basi, watu 600 wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita wakaondoka kutoka Sora na Eshtaoli Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Basi, watu 600 wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita wakaondoka kutoka Sora na Eshtaoli Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Basi, watu 600 wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita wakaondoka kutoka Sora na Eshtaoli Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Ndipo wanaume mia sita kutoka ukoo wa Wadani, waliojifunga silaha za vita, wakaondoka Sora na Eshtaoli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Ndipo watu 600 toka ukoo wa Wadani, waliojifunga silaha za vita, wakaondoka Sora na Eshtaoli. Tazama sura |