Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 17:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Alikuwako mtu kijana mmoja mwanamume aliyetoka Bethlehemu-yuda, wa jamaa ya Yuda, aliyekuwa Mlawi, naye akakaa huko kama mgeni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Wakati huo kulikuwa na kijana mmoja Mlawi mjini Bethlehemu nchini Yuda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Wakati huo kulikuwa na kijana mmoja Mlawi mjini Bethlehemu nchini Yuda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Wakati huo kulikuwa na kijana mmoja Mlawi mjini Bethlehemu nchini Yuda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Palikuwa na kijana Mlawi kutoka Bethlehemu ya Yuda, aliyekuwa akiishi miongoni mwa watu wa kabila la Yuda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Basi palikuwa na kijana mmoja wa Bethlehemu ya Yuda. Yeye alikuwa Mlawi aliyeishi miongoni mwa kabila la Yuda.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 17:7
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akafa Raheli, akazikwa katika njia ya Efrata, ndio Bethlehemu.


Sasa utajikusanya vikosi vikosi, Ee binti wa vikosi; yeye amemhusuru; watampiga mwamuzi wa Israeli shavuni mwake kwa fimbo.


Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye asili yake imekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.


Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, majusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema,


Katathi, Nahalali, Shimroni, Idala na Bethlehemu; miji kumi na miwili, pamoja na vijiji vyake.


Nao Wagileadi wakavitwaa vivuko vya Yordani kinyume cha hao Waefraimu; kisha kila mmoja wa watoro walitoroka Efraimu aliposema “Niache nivuke”, hao watu wa Gileadi walimuuliza, “Je! Wewe ni Mwefraimu?” Alijibu, la;


Baada ya Yeftha, Ibzani wa Bethlehemu akawa mwamuzi wa Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo