Waamuzi 17:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Siku hizo hapakuwa na mfalme katika Israeli; kila mtu alifanya hayo aliyoyaona kuwa ni mema machoni pake mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Siku hizo hapakuwepo na mfalme katika Israeli. Kila mtu alifanya chochote alichoona ni chema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Siku hizo hapakuwepo na mfalme katika Israeli. Kila mtu alifanya chochote alichoona ni chema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Siku hizo hapakuwepo na mfalme katika Israeli. Kila mtu alifanya chochote alichoona ni chema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Katika siku hizo, Waisraeli hawakuwa na mfalme; kila mtu alifanya alivyoona ni vyema machoni pake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Katika siku hizo Israeli hawakuwa na mfalme, kila mmoja akafanya kama alivyoona vyema machoni pake mwenyewe. Tazama sura |