Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 17:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Ndipo Mika akasema, Sasa ninajua ya kwamba BWANA atanitendea mema, kwa kuwa nina Mlawi kama kuhani wangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kisha akasema, “Sasa najua kwamba Mwenyezi-Mungu atanifanikisha kwani nina kijana huyu Mlawi kama kuhani wangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kisha akasema, “Sasa najua kwamba Mwenyezi-Mungu atanifanikisha kwani nina kijana huyu Mlawi kama kuhani wangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kisha akasema, “Sasa najua kwamba Mwenyezi-Mungu atanifanikisha kwani nina kijana huyu Mlawi kama kuhani wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Mika akasema, “Sasa najua Mwenyezi Mungu atanitendea mema, kwa kuwa Mlawi huyu amekuwa kuhani wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Ndipo Mika akasema, “Sasa najua bwana atanitendea mema, kwa kuwa Mlawi huyu amekuwa kuhani wangu.”

Tazama sura Nakili




Waamuzi 17:13
11 Marejeleo ya Msalaba  

Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti.


Hula majivu; moyo uliodanganyika umempotosha, asiweze kuiokoa nafsi yake, wala kusema, Je! Sio uongo mkononi mwangu?


Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa.


Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu.


Watawatenga na masinagogi; naam, saa inakuja kila mtu awauaye atakapodhania ya kuwa anamfanyia Mungu ibada.


Kweli, mimi mwenyewe niliona ndani ya nafsi yangu kwamba yanipasa kutenda mambo mengi yaliyopingana na jina lake Yesu Mnazareti;


Basi Mika akamweka wakfu huyo Mlawi, huyo kijana, naye akawa kuhani wake, akakaa nyumbani mwa Mika.


Siku hizo hapakuwa na mfalme katika Israeli; tena katika siku hizo kabila la Wadani wakajitafutia urithi wapate mahali pa kukaa; maana hawakuwa wamepata urithi wao kati ya makabila ya Israeli.


Akasema, Ninyi mmeichukua miungu niliyoifanya, na huyo kuhani, nanyi mmekwenda zenu, nami nina nini tena? Basi imekuwaje ninyi kuniuliza, Una nini wewe?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo