Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 17:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Basi Mika akamweka wakfu huyo Mlawi, huyo kijana, naye akawa kuhani wake, akakaa nyumbani mwa Mika.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Naye Mika akamfanya kijana huyo Mlawi kuwa kuhani wake huko nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Naye Mika akamfanya kijana huyo Mlawi kuwa kuhani wake huko nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Naye Mika akamfanya kijana huyo Mlawi kuwa kuhani wake huko nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Basi Mika akamweka wakfu huyo kijana Mlawi, naye huyo akawa kuhani wake na kuishi nyumbani mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Hivyo Mika akamweka wakfu huyo kijana Mlawi, naye huyo akawa kuhani wake na kuishi nyumbani mwake.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 17:12
9 Marejeleo ya Msalaba  

Tena akafanya nyumba za mahali pa juu, akafanya na watu wowote, watu wasio wa wana wa Lawi, kuwa makuhani.


kisha akanena na Kora na mkutano wake wote, akawaambia, Asubuhi BWANA ataonesha ni kina nani walio wake, kisha ni nani aliye mtakatifu, tena ni nani atakayemkaribisha kwake; maana, yeye atakayemchagua ndiye atakayemsongeza kwake.


BWANA akamwambia Haruni, Wewe na wanao na nyumba ya baba zako pamoja nawe mtachukua uovu wa patakatifu; wewe na wanao pamoja nawe mtauchukua ukuhani wenu.


Huyo Mlawi aliridhika kukaa na mtu huyo; kisha huyo kijana akawa kwake kama wanawe mmojawapo.


Ndipo Mika akasema, Sasa ninajua ya kwamba BWANA atanitendea mema, kwa kuwa nina Mlawi kama kuhani wangu.


Kisha wana wa Dani wakajisimamishia hiyo sanamu ya kuchonga; na Yonathani mwana wa Gershomu, mwana wa Musa, yeye na wanawe walikuwa ni makuhani katika kabila la Wadani hadi siku nchi hiyo ilipochukuliwa mateka.


Naye akawaambia, Hivi na hivi ndivyo alivyonifanyia Mika, ameniajiri, nami nimekuwa kuhani wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo