Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 17:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Huyo Mlawi aliridhika kukaa na mtu huyo; kisha huyo kijana akawa kwake kama wanawe mmojawapo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Huyo Mlawi akaingia akakubali, akakaa huko na kuwa kama mmoja wa wana wa Mika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Huyo Mlawi akaingia akakubali, akakaa huko na kuwa kama mmoja wa wana wa Mika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Huyo Mlawi akaingia akakubali, akakaa huko na kuwa kama mmoja wa wana wa Mika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Hivyo yule Mlawi akakubali kuishi pamoja na Mika, naye akawa kama mmoja wa wanawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Hivyo yule Mlawi akakubali kuishi pamoja naye, naye huyo kijana akawa kwake kama mmoja wa wanawe.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 17:11
3 Marejeleo ya Msalaba  

Mika akamwambia, kaa pamoja nami, uwe kwangu baba, tena kuhani, nami nitakupa fedha kumi kila mwaka, na nguo ya kuvaa, na vyakula. Basi huyo Mlawi akaingia ndani.


Basi Mika akamweka wakfu huyo Mlawi, huyo kijana, naye akawa kuhani wake, akakaa nyumbani mwa Mika.


Mtu huyo akatoka katika huo mji, Bethlehemu-yuda, ili aende kukaa kama mgeni hapo atakapoona mahali; akafikia nchi ya vilima vilima ya Efraimu katika safari yake, hadi nyumba ya huyo Mika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo