Waamuzi 16:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Ndipo wakuu wa Wafilisti wakamletea kamba mbichi saba zisizokauka, naye akamfunga nazo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wakuu wa Wafilisti wakamletea Delila kamba hizo saba mbichi za upinde, naye akamfunga Samsoni kwa kamba hizo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wakuu wa Wafilisti wakamletea Delila kamba hizo saba mbichi za upinde, naye akamfunga Samsoni kwa kamba hizo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wakuu wa Wafilisti wakamletea Delila kamba hizo saba mbichi za upinde, naye akamfunga Samsoni kwa kamba hizo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Basi viongozi wa Wafilisti wakamletea yule mwanamke kamba saba za upinde ambazo hazijakauka, naye akamfunga Samsoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Viongozi wa Wafilisti wakamletea yule mwanamke kamba saba za upinde ambazo hazijakauka bado, akamfunga nazo Samsoni. Tazama sura |