Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waamuzi 16:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Samsoni akamwambia yule kijana aliyemshika mkono, Niache nizipapase nguzo ambazo nyumba hii inazikalia, nipate kuzitegemea.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Samsoni akamwambia kijana aliyekuwa anamwongoza, “Niruhusu nizipapase nguzo zinazotegemeza jumba hili ili nami niziegemee.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Samsoni akamwambia kijana aliyekuwa anamwongoza, “Niruhusu nizipapase nguzo zinazotegemeza jumba hili ili nami niziegemee.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Samsoni akamwambia kijana aliyekuwa anamwongoza, “Niruhusu nizipapase nguzo zinazotegemeza jumba hili ili nami niziegemee.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Samsoni akamwambia mtumishi aliyeushika mkono wake, “Niweke mahali ambapo ninaweza kuzigusa nguzo ambazo zinategemeza jengo ili nipate kuziegemea.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Samsoni akamwambia mtumishi aliyeshika mkono wake, “Niweke mahali ambapo ninaweza kuzigusa nguzo ambazo zinategemeza jengo ili nipate kuziegemea.”

Tazama sura Nakili

Waamuzi 16:26
2 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa mioyo yao iliposhangilia, wakasema, Mwiteni Samsoni, ili atufanyie michezo. Basi wakamwita Samsoni atoke gerezani, akacheze mbele yao wakamweka katikati ya nguzo mbili.

Basi nyumba ile ilikuwa imejaa wanaume kwa wanawake; na wakuu wote wa Wafilisti walikuwamo humo, na juu ya dari palikuwa na watu elfu tatu wanaume kwa wanawake waliokuwa wakitazama, wakati Samsoni alipocheza.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo