Waamuzi 15:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Ikawa, alipokuwa amekwisha kunena akautupa ule mfupa wa taya mkononi mwake; na mahali pale pakaitwa Ramath-lehi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Alipomaliza kusema, akatupa utaya huo. Mahali hapo pakaitwa Ramath-lehi, yaani mlima wa utaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Alipomaliza kusema, akatupa utaya huo. Mahali hapo pakaitwa Ramath-lehi, yaani mlima wa utaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Alipomaliza kusema, akatupa utaya huo. Mahali hapo pakaitwa Ramath-lehi, yaani mlima wa utaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Alipomaliza kusema, akautupa ule mfupa wa taya; na mahali pale pakaitwa Ramath-Lehi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Alipomaliza kusema, akautupa ule mfupa wa taya; na mahali pale pakaitwa Ramath-Lehi. Tazama sura |