Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waamuzi 15:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Samsoni akasema, Kwa taya ya punda, chungu juu ya chungu, Kwa taya ya punda nimeua watu elfu moja.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Kisha Samsoni akasema, “Kwa utaya wa punda, nimeua watu elfu moja. Kwa utaya wa punda, nimekusanya marundo ya maiti.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Kisha Samsoni akasema, “Kwa utaya wa punda, nimeua watu elfu moja. Kwa utaya wa punda, nimekusanya marundo ya maiti.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Kisha Samsoni akasema, “Kwa utaya wa punda, nimeua watu elfu moja. Kwa utaya wa punda, nimekusanya marundo ya maiti.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Ndipo Samsoni akasema, “Kwa taya la punda malundo juu ya lundo, kwa taya la punda nimeua watu elfu moja.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Ndipo Samsoni akasema, “Kwa taya la punda malundo juu ya malundo. Kwa taya la punda nimeua watu 1,000.”

Tazama sura Nakili

Waamuzi 15:16
3 Marejeleo ya Msalaba  

Naye akaona mfupa mbichi wa taya ya punda, akautwaa, akaua watu elfu moja kwa mfupa huo;

Ikawa, alipokuwa amekwisha kunena akautupa ule mfupa wa taya mkononi mwake; na mahali pale pakaitwa Ramath-lehi.

Na hao watu walipomwona wakamhimidi mungu wao, maana walisema, mungu wetu amemtia mikononi mwetu huyu adui wetu, aliyeiharibu nchi yetu na kuwaua watu wengi miongoni mwetu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo