Waamuzi 15:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Naye akaona mfupa mbichi wa taya ya punda, akautwaa, akaua watu elfu moja kwa mfupa huo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Samsoni akapata utaya mbichi wa punda, akautumia kuwaua watu 1,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Samsoni akapata utaya mbichi wa punda, akautumia kuwaua watu 1,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Samsoni akapata utaya mbichi wa punda, akautumia kuwaua watu 1,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ndipo akaona mfupa mpya wa taya la punda, akanyoosha mkono, akauchukua na kuua nao Wafilisti wapatao elfu moja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ndipo akaona mfupa mpya wa taya la punda, akanyoosha mkono, akauchukua na kuua nao Wafilisti wapatao 1,000. Tazama sura |