Waamuzi 14:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Basi akateremka na kuzungumza na huyo mwanamke; naye akampendeza Samsoni sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kisha akateremka akaenda kuzungumza na yule msichana; huyo msichana alimpendeza sana Samsoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kisha akateremka akaenda kuzungumza na yule msichana; huyo msichana alimpendeza sana Samsoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kisha akateremka akaenda kuzungumza na yule msichana; huyo msichana alimpendeza sana Samsoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Basi akateremka na kuongea na yule mwanamke, naye akampendeza Samsoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Basi akateremka na kuongea na yule mwanamke, naye akampendeza Samsoni. Tazama sura |