Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 14:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Kisha akapanda, akawaambia baba yake na mama yake, akasema, Nimemuona mwanamke huko Timna, mmojawapo wa binti za Wafilisti; basi mniruhusu, nimuoe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Aliporudi nyumbani akawaambia wazazi wake, “Nimemwona msichana mmoja Mfilisti huko Timna. Niozeni msichana huyo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Aliporudi nyumbani akawaambia wazazi wake, “Nimemwona msichana mmoja Mfilisti huko Timna. Niozeni msichana huyo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Aliporudi nyumbani akawaambia wazazi wake, “Nimemwona msichana mmoja Mfilisti huko Timna. Niozeni msichana huyo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Alipopanda kutoka huko, akawaambia baba yake na mama yake, “Nimemwona mwanamke Mfilisti huko Timna; basi mnitwalie awe mke wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Alipopanda kutoka huko, akawaambia baba yake na mama yake, “Nimemwona mwanamke wa Kifilisti huko Timna; basi mnipe ili awe mke wangu.”

Tazama sura Nakili




Waamuzi 14:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akakaa katika jangwa la Parani; mama yake akamtwalia mke katika nchi ya Misri.


Shekemu akamwambia Hamori, babaye, akasema, Unipatie msichana huyu awe mke wangu.


Yuda akamwoza mke Eri, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari.


Naye Yehoashi mfalme wa Israeli akatuma kwa Amazia mfalme wa Yuda, akisema, Mbaruti uliokuwako Lebanoni ulituma kwa mwerezi uliokuwako Lebanoni, kusema, Umwoze mwanangu binti yako; kukapita hayawani aliyekuwako Lebanoni, akaukanyaga ule mbaruti.


oeni wake, mkazae wana na binti; kawaozeni wake wana wenu, mkawaoze waume binti zenu, wazae wana na binti; mkaongezeke huko wala msipungue.


Samsoni akateremka hadi Timna, akaona mwanamke huko Timna, mmojawapo wa binti za Wafilisti.


Ndipo baba yake na mama yake wakamwambia, Je! Hapana mwanamke hata mmoja katika ndugu zako, au katika jamaa zangu wote, hata uende kumuoa mwanamke kwa hawa Wafilisti wasiotahiriwa? Samsoni akamwambia baba yake; Mniruhusu nimuoe huyo, kwa maana ananipendeza sana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo