Waamuzi 14:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Nao watu wa mji wakamwambia siku ya saba kabla ya jua kuchwa, Ni kitu gani kilicho tamu kuliko asali? Ni kitu gani kilicho na nguvu kuliko simba? Naye akawaambia, Msingelima na mtamba wangu, Hamngekitegua kitendawili changu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Siku hiyo ya saba, kabla ya jua kutua, wakamwambia Samsoni, “Ni kitu gani kitamu kuliko asali? Ni nani mwenye nguvu kuliko simba?” Samsoni akawajibu, “Kama hamngejishughulisha na mtamba wangu hamngeweza kukitegua kitendawili changu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Siku hiyo ya saba, kabla ya jua kutua, wakamwambia Samsoni, “Ni kitu gani kitamu kuliko asali? Ni nani mwenye nguvu kuliko simba?” Samsoni akawajibu, “Kama hamngejishughulisha na mtamba wangu hamngeweza kukitegua kitendawili changu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Siku hiyo ya saba, kabla ya jua kutua, wakamwambia Samsoni, “Ni kitu gani kitamu kuliko asali? Ni nani mwenye nguvu kuliko simba?” Samsoni akawajibu, “Kama hamngejishughulisha na mtamba wangu hamngeweza kukitegua kitendawili changu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Siku ya saba, kabla ya jua kutua, wanaume wa mji wakamwambia Samsoni, “Ni nini kilicho kitamu kuliko asali? Ni nini chenye nguvu kuliko simba?” Samsoni akawaambia, “Kama hamkulima na mtamba wangu, msingekitegua kitendawili changu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Siku ya saba kabla ya jua kutua, watu wa mji wakamwambia Samsoni, “Ni nini kitamu kama asali? Ni nini chenye nguvu kama simba?” Samsoni akawaambia, “Kama hamkulima na mtamba wangu, hamngeweza kufumbua kitendawili changu.” Tazama sura |