Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waamuzi 14:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 lakini msipoweza kunitegulia ndipo mtakaponipa mimi mavazi thelathini ya kitani na mavazi thelathini ya sikukuu. Basi wakamwambia, Haya, tega kitendawili chako, ili tupate kukisikia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Lakini msipoweza kukitegua, nyinyi mtanipa mavazi thelathini ya kitani na mavazi thelathini ya sikukuu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Lakini msipoweza kukitegua, nyinyi mtanipa mavazi thelathini ya kitani na mavazi thelathini ya sikukuu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Lakini msipoweza kukitegua, nyinyi mtanipa mavazi thelathini ya kitani na mavazi thelathini ya sikukuu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Lakini msipoweza kufumbua, ndipo ninyi mtanipa mavazi thelathini ya kitani na mavazi mengine mivao thelathini.” Wakamwambia, “Tuambie hicho kitendawili, hebu na tukisikie.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Lakini msipoweza kufumbua, ndipo ninyi mtanipa mavazi thelathini ya kitani na mavazi mengine mivao thelathini.” Wakamwambia, “Tuambie hicho kitendawili, hebu na tukisikie.”

Tazama sura Nakili

Waamuzi 14:13
2 Marejeleo ya Msalaba  

Samsoni akawaambia, Mimi nitawategea ninyi kitendawili; kama mnaweza kunitegulia katika hizo siku saba za karamu, na kukitambua, ndipo nitakapowapa mavazi thelathini ya kitani na mavazi thelathini ya sikukuu;

Naye akawaambia, Kutoka kwa huyo kikatoka chakula, Kutoka kwa huyo mwenye nguvu kikatoka kitamu. Nao katika siku tatu hawakuweza kukifumbua hicho kitendawili.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo