Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waamuzi 14:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Basi babaye akamteremkia huyo mwanamke; Samsoni naye akafanya karamu huko; kwa kuwa ndivyo vijana walivyokuwa wakifanya.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Baba yake akaenda nyumbani kwa yule msichana, naye Samsoni akafanya karamu huko, kama walivyofanya vijana wakati huo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Baba yake akaenda nyumbani kwa yule msichana, naye Samsoni akafanya karamu huko, kama walivyofanya vijana wakati huo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Baba yake akaenda nyumbani kwa yule msichana, naye Samsoni akafanya karamu huko, kama walivyofanya vijana wakati huo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Basi baba yake akateremka kumwona huyo mwanamke. Samsoni akafanya karamu huko, kama ilivyokuwa desturi ya vijana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Basi baba yake akateremka kumwona huyo mwanamke. Samsoni akafanya karamu huko, kama ilivyokuwa desturi ya vijana.

Tazama sura Nakili

Waamuzi 14:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Labani akakusanya watu wote wa mahali pale, akafanya karamu.

Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, Na divai huyafurahisha maisha; Na fedha huleta jawabu la mambo yote.

Naye mkuu wa sherehe alipoyaonja yale maji yaliyopata kuwa divai, (wala asijue ilikotoka, lakini watumishi walijua, wale walioyateka yale maji), yule mkuu wa sherehe alimwita bwana arusi,

Naye akaniambia, Andika, Heri walioalikwa katika karamu ya arusi ya Mwana-kondoo. Akaniambia, Maneno haya ni maneno ya kweli ya Mungu.

Basi ikawa hapo watu walipomwona, wakamletea wenziwe thelathini, wawe pamoja naye.

Akatwaa asali mikononi mwake akasonga mbele, huku akila alipokuwa akienda, akawafikia babaye na mamaye, akawapa, nao wakala; lakini hakuwaambia ya kuwa ameitwaa hiyo asali katika mzoga wa simba.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo