Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 14:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Samsoni akateremka hadi Timna, akaona mwanamke huko Timna, mmojawapo wa binti za Wafilisti.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Siku moja, Samsoni aliteremka na kwenda Timna ambako alimwona msichana mmoja Mfilisti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Siku moja, Samsoni aliteremka na kwenda Timna ambako alimwona msichana mmoja Mfilisti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Siku moja, Samsoni aliteremka na kwenda Timna ambako alimwona msichana mmoja Mfilisti.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Samsoni akateremka Timna, na huko akamwona mwanamke Mfilisti.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Samsoni akateremkia Timna, akamwona mwanamke wa Kifilisti.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 14:1
12 Marejeleo ya Msalaba  

wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wowote waliowachagua.


Ikawa wakati wa jioni, Daudi akaondoka kitandani, akatembea juu ya dari la jumba la mfalme; na alipokuwa juu ya dari aliona mwanamke anaoga; naye huyo mwanamke alikuwa mzuri sana, wa kupendeza macho.


Nilifanya agano na macho yangu; Basi ningewezaje kumwangalia msichana?


Unigeuze macho yangu nisitazame visivyofaa, Unihuishe katika njia yako.


kisha mpaka ukazunguka kutoka Baala kwendelea upande wa magharibi hadi kilima Seiri, kisha ukaendelea hadi upande wa mlima wa Yearimu upande wa kaskazini (huo ndio Kesaloni), kisha ukateremkia Beth-shemeshi, na kwendelea karibu na Timna;


Eloni, Timna, Ekroni;


Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia.


Roho ya BWANA ikaanza kumtaharakisha katika Mahane-dani, katikati ya Sora na Eshtaoli.


Kisha akapanda, akawaambia baba yake na mama yake, akasema, Nimemuona mwanamke huko Timna, mmojawapo wa binti za Wafilisti; basi mniruhusu, nimuoe.


Samsoni akaenda Gaza, akaona huko mwanamke kahaba, akaingia kwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo