Waamuzi 13:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Basi sasa, jihadhari, nakuomba, usinywe divai wala kileo, wala usile kitu kilicho najisi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kwa hiyo uwe mwangalifu, usinywe divai au kileo wala usile kitu chochote kilicho najisi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kwa hiyo uwe mwangalifu, usinywe divai au kileo wala usile kitu chochote kilicho najisi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kwa hiyo uwe mwangalifu, usinywe divai au kileo wala usile kitu chochote kilicho najisi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Lakini ujihadhari sana usinywe divai wala kileo kingine chochote, wala usile kitu chochote kilicho najisi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Lakini ujihadhari sana usinywe mvinyo wala kileo kingine chochote, wala usile kitu chochote kilicho najisi, Tazama sura |