Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Waamuzi 13:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Basi yule mwanamke akamzaa mtoto wa kiume akamwita jina lake Samsoni, mtoto huyu akakua, BWANA akambariki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Kisha mkewe Manoa akajifungua mtoto wa kiume, naye Manoa akampa jina Samsoni. Mtoto huyo akakua naye Mwenyezi-Mungu akambariki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Kisha mkewe Manoa akajifungua mtoto wa kiume, naye Manoa akampa jina Samsoni. Mtoto huyo akakua naye Mwenyezi-Mungu akambariki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Kisha mkewe Manoa akajifungua mtoto wa kiume, naye Manoa akampa jina Samsoni. Mtoto huyo akakua naye Mwenyezi-Mungu akambariki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Yule mwanamke akazaa mtoto wa kiume, akamwita jina Samsoni. Kijana akakua, naye Mwenyezi Mungu akambariki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Yule mwanamke akazaa mtoto wa kiume akamwita jina lake Samsoni. Kijana akakua, naye bwana akambariki.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 13:24
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yule mtoto akakua, akaongezeka nguvu rohoni, akakaa majangwani hadi siku ile alipotokeza hadharani kwa Israeli.


Naye Yesu akazidi kuendelea katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.


Nami niseme nini tena? Maana wakati usingenitosha kuleta habari za Gideoni na Baraka na Samsoni na Yeftha na Daudi na Samweli na za manabii;


Naye BWANA akamwangalia Hana, naye akachukua mimba, akazaa watoto, watatu wa kiume na wawili wa kike. Naye huyo mtoto Samweli akakua mbele za BWANA.


Na yule mtoto, Samweli, akazidi kukua akapata kibali kwa BWANA, na kwa watu pia.


Samweli akakua, naye BWANA alikuwa pamoja naye, wala hakuliacha neno lake lolote lianguke chini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo