Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 13:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Lakini malaika wa BWANA hakumtokea Manoa tena, wala mkewe. Ndipo Manoa alipojua ya kwamba ndiye malaika wa BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Manoa akajua kuwa huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi-Mungu. Malaika hakumtokea tena Manoa na mkewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Manoa akajua kuwa huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi-Mungu. Malaika hakumtokea tena Manoa na mkewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Manoa akajua kuwa huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi-Mungu. Malaika hakumtokea tena Manoa na mkewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Malaika wa Mwenyezi Mungu hakumtokea tena Manoa na mkewe. Ndipo Manoa akatambua kuwa huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Malaika wa bwana hakumtokea tena Manoa na mkewe. Ndipo Manoa akatambua kuwa huyo alikuwa malaika wa bwana.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 13:21
3 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini malaika wa BWANA akamwambia Manoa, “Ijapokuwa unanizuia, sitakula chakula chako; lakini kama unataka kuandaa sadaka ya kuteketezwa, inakupasa kumsogezea BWANA”. Kwa kuwa Manoa hakujua ya kwamba yeye ni malaika wa BWANA.


Gideoni akaona ya kuwa ni malaika wa BWANA; Gideoni akasema, Ole wangu, Ee Bwana MUNGU! Kwa kuwa nimemwona BWANA uso kwa uso.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo