Waamuzi 13:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Basi Manoa akamtwaa yule mwana-mbuzi, pamoja na sadaka ya unga, akamtolea BWANA hapo juu ya mwamba; huyo malaika akatenda la ajabu; Manoa na mkewe wakaangalia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Hapo Manoa akatayarisha mwanambuzi na tambiko, akaviweka juu ya mwamba amtolee Mwenyezi-Mungu afanyaye maajabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Hapo Manoa akatayarisha mwanambuzi na tambiko, akaviweka juu ya mwamba amtolee Mwenyezi-Mungu afanyaye maajabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Hapo Manoa akatayarisha mwanambuzi na tambiko, akaviweka juu ya mwamba amtolee Mwenyezi-Mungu afanyaye maajabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ndipo Manoa akamchukua mwana-mbuzi, pamoja na sadaka ya unga, naye akamtolea Mwenyezi Mungu dhabihu hapo juu ya mwamba. Naye yule malaika wa Mwenyezi Mungu akafanya jambo la ajabu wakati Manoa na mkewe wakiwa wanaangalia: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Ndipo Manoa akamchukua mwana-mbuzi, pamoja na sadaka ya unga, naye akamtolea bwana dhabihu hapo juu ya mwamba. Naye yule malaika wa bwana akafanya jambo la ajabu wakati Manoa na mkewe wakiwa wanaangalia: Tazama sura |