Waamuzi 13:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Manoa akamwambia huyo malaika wa BWANA, Jina lako ni nani, ili kwamba hapo hayo maneno yako yatakapotimia nipate kukutukuza? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Basi, Manoa akamwambia huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, “Tuambie jina lako ili tukuheshimu wakati maneno yako yatakapotimia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi, Manoa akamwambia huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, “Tuambie jina lako ili tukuheshimu wakati maneno yako yatakapotimia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi, Manoa akamwambia huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, “Tuambie jina lako ili tukuheshimu wakati maneno yako yatakapotimia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kisha Manoa akamuuliza yule malaika wa Mwenyezi Mungu, “Jina lako ni nani, ili tuweze kukupa heshima wakati maneno uliyonena yatakapotimia?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Ndipo Manoa akamuuliza yule malaika wa bwana, “Jina lako ni nani, ili kwamba tuweze kukupa heshima hapo hayo uliyonena yatakapotimia?” Tazama sura |