Waamuzi 13:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Kisha Manoa akamwambia huyo malaika wa BWANA, Nakuomba, tukuzuie, ili tupate kuandaa mwana-mbuzi kwa ajili yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Manoa akamwambia huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, “Tafadhali, ukae kidogo tukutayarishie mwanambuzi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Manoa akamwambia huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, “Tafadhali, ukae kidogo tukutayarishie mwanambuzi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Manoa akamwambia huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, “Tafadhali, ukae kidogo tukutayarishie mwanambuzi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Manoa akamjibu yule malaika wa Mwenyezi Mungu, “Twakuomba usubiri kwanza ili tuweze kuandaa mwana-mbuzi kwa ajili yako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Manoa akamjibu yule malaika wa bwana, “Twakuomba usubiri kwanza ili tuweze kuandaa mwana-mbuzi kwa ajili yako.” Tazama sura |