Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Waamuzi 13:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Malaika wa Mungu akamwambia Manoa, “Hebu huyo mwanamke ajihadhari na yote niliyomwambia.”

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia Manoa, “Mkeo atapaswa kushika yote niliyomwambia:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia Manoa, “Mkeo atapaswa kushika yote niliyomwambia:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia Manoa, “Mkeo atapaswa kushika yote niliyomwambia:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Malaika wa Mwenyezi Mungu akamjibu, “Mke wako hana budi kufanya yale yote niliyomwambia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Malaika wa bwana akamjibu, “Mke wako hana budi kufanya yale yote niliyomwambia.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 13:13
4 Marejeleo ya Msalaba  

Malaika wa BWANA akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kichaka; akatazama, na kumbe! Kile kichaka kiliwaka moto, nacho kichaka hakikuteketea.


Basi Manoa akainuka, akamfuata mkewe, na kumfikia mtu huyo, akamwuliza, Je! Wewe ndiwe mtu yule aliyenena na huyu mwanamke? Akasema, Ndio, ni mimi.


Manoa akasema, Basi sasa hayo maneno yako yatakapotimia, je! Huyo mtoto atakuwa wa namna gani, na kazi yake itakuwa ni nini?


Basi sasa, jihadhari, nakuomba, usinywe divai wala kileo, wala usile kitu kilicho najisi;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo