Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 12:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Huyo Yeftha akawa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka sita. Ndipo akafa Yeftha, Mgileadi, akazikwa katika miji ya Gileadi mmojawapo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Yeftha alikuwa mwamuzi katika Israeli kwa miaka sita. Kisha akafariki, akazikwa huko Gileadi katika mji wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Yeftha alikuwa mwamuzi katika Israeli kwa miaka sita. Kisha akafariki, akazikwa huko Gileadi katika mji wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Yeftha alikuwa mwamuzi katika Israeli kwa miaka sita. Kisha akafariki, akazikwa huko Gileadi katika mji wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Yefta akawa mwamuzi wa Waisraeli kwa muda wa miaka sita. Kisha Yefta akafa, akazikwa katika mmoja wa miji ya Gileadi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Yefta akawa mwamuzi wa Waisraeli kwa muda wa miaka sita. Basi Yefta akafa, akazikwa katika mmojawapo wa miji ya Gileadi.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 12:7
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na hao watu, wakuu wa Gileadi, wakaambiana wao kwa wao, Je! Ni mtu yupi atakayeanza kupigana na wana wa Amoni? Yeye atakuwa ni kichwa juu ya wenyeji wote wa Gileadi.


ndipo walipomwambia, Haya, tamka sasa neno hili, Shibolethi; naye akasema, Sibolethi; kwa maana hakuweza kufanya midomo yake kutamka neno hilo sawasawa; ndipo wakamshika, na kumwua hapo penye vivuko vya Yordani; basi wakaanguka watu elfu arubaini na mbili wa Efraimu wakati huo.


Baada ya Yeftha, Ibzani wa Bethlehemu akawa mwamuzi wa Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo