Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waamuzi 12:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Naye alikuwa na wana arubaini, na wajukuu thelathini, waliokuwa wakipanda wanapunda sabini; akawa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka minane.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Yeye alikuwa na watoto wa kiume arubaini na wajukuu thelathini ambao walipanda punda sabini. Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka minane.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Yeye alikuwa na watoto wa kiume arubaini na wajukuu thelathini ambao walipanda punda sabini. Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka minane.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Yeye alikuwa na watoto wa kiume arubaini na wajukuu thelathini ambao walipanda punda sabini. Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka minane.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Naye alikuwa na wana arobaini, na wajukuu thelathini waliopanda punda sabini. Akawa mwamuzi wa Israeli kwa muda wa miaka nane.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Naye akazaa wana arobaini na wana wa wanawe thelathini waliopanda punda sabini. Akawa mwamuzi wa Israeli kwa muda wa miaka minane.

Tazama sura Nakili

Waamuzi 12:14
4 Marejeleo ya Msalaba  

Huyo alikuwa na watoto wa kiume thelathini waliokuwa wakipanda wanapunda thelathini, nao walikuwa na miji thelathini, ambayo inaitwa Hawoth-yairi hata hivi leo, nayo iko katika nchi ya Gileadi.

Baada ya Eloni, Abdoni mwana wa Hileli, Mpirathoni, akawa mwamuzi wa Israeli.

Huyo Abdoni mwana wa Hileli, Mpirathoni, akafa, akazikwa huko Pirathoni katika nchi ya Efraimu, katika nchi ya vilima ya Waamaleki.

Itangazeni habari, ninyi mpandao punda weupe, Ninyi mketio juu ya mazulia ya thamani, Na ninyi mnaopita njiani kwa miguu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo