Waamuzi 12:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Baada ya Eloni, Abdoni mwana wa Hileli, Mpirathoni, akawa mwamuzi wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Baada ya Eloni, Abdoni mwana wa Hileli kutoka Pirathoni akawa mwamuzi wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Baada ya Eloni, Abdoni mwana wa Hileli kutoka Pirathoni akawa mwamuzi wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Baada ya Eloni, Abdoni mwana wa Hileli kutoka Pirathoni akawa mwamuzi wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Baada yake, Abdoni mwana wa Hileli Mpirathoni akawa mwamuzi wa Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Baada yake, Abdoni mwana wa Hileli, Mpirathoni, akawa mwamuzi wa Israeli. Tazama sura |