Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 12:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Huyo Eloni, Mzabuloni, akafa, akazikwa katika Aiyaloni katika nchi ya Zabuloni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Naye akafariki, akazikwa mjini Aiyaloni katika nchi ya kabila la Zebuluni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Naye akafariki, akazikwa mjini Aiyaloni katika nchi ya kabila la Zebuluni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Naye akafariki, akazikwa mjini Aiyaloni katika nchi ya kabila la Zebuluni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Kisha Eloni akafa, akazikwa huko Aiyaloni katika nchi ya Zabuloni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Kisha Eloni akafa, akazikwa katika Aiyaloni, katika nchi ya Zabuloni.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 12:12
6 Marejeleo ya Msalaba  

na Aiyaloni pamoja na viunga vyake, na Gath-rimoni pamoja na viunga vyake;


na Beria, na Shema, waliokuwa wakuu wa mbari za baba zao miongoni mwa wenyeji wa Aiyaloni, wale ambao waliwakimbiza wenyeji wa Gathi.


Ndipo Yoshua akanena na BWANA katika siku hiyo ambayo BWANA aliwatoa Waamori mbele ya wana wa Israeli; akasema mbele ya macho ya Israeli, Wewe Jua, simama kimya juu ya Gibeoni; Na wewe Mwezi, simama katika bonde la Aiyaloni.


Shaalabini, Aiyaloni, Ithla;


Baada ya Ibzani, Eloni, Mzabuloni, akawa mwamuzi wa Israeli akawaamua Israeli muda wa miaka kumi.


Baada ya Eloni, Abdoni mwana wa Hileli, Mpirathoni, akawa mwamuzi wa Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo