Waamuzi 12:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Baada ya Ibzani, Eloni, Mzabuloni, akawa mwamuzi wa Israeli akawaamua Israeli muda wa miaka kumi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Baada ya Ibzani, Eloni wa kabila la Zebuluni, akawa mwamuzi wa Israeli kwa miaka kumi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Baada ya Ibzani, Eloni wa kabila la Zebuluni, akawa mwamuzi wa Israeli kwa miaka kumi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Baada ya Ibzani, Eloni wa kabila la Zebuluni, akawa mwamuzi wa Israeli kwa miaka kumi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Baada yake, Eloni Mzabuloni akawa mwamuzi wa Israeli kwa muda wa miaka kumi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Baada yake Eloni, Mzabuloni, akawa mwamuzi wa Israeli, naye akawaamua kwa muda wa miaka kumi. Tazama sura |