Waamuzi 11:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 kwamba binti za Israeli waende mwaka baada ya mwaka ili kumkumbuka huyo mwana wa Yeftha, Mgileadi, siku nne katika mwaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Kila mwaka wanawake wa Israeli huenda kuomboleza kwa siku nne kifo cha bintiye Yeftha wa Gileadi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Kila mwaka wanawake wa Israeli huenda kuomboleza kwa siku nne kifo cha bintiye Yeftha wa Gileadi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Kila mwaka wanawake wa Israeli huenda kuomboleza kwa siku nne kifo cha bintiye Yeftha wa Gileadi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 kwamba kila mwaka binti za Israeli huenda kwa siku nne ili kumkumbuka huyo binti Yefta Mgileadi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 kwamba kila mwaka binti wa Israeli huenda kwa siku nne ili kumkumbuka huyo binti wa Yefta, Mgileadi. Tazama sura |