Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 11:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

38 Akamwambia, Haya, nenda. Akampeleka mbali muda wa miezi miwili; naye akaenda zake, yeye na wenziwe, akauombolea ubikira wake huko milimani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Baba yake akamruhusu aende huko kwa miezi miwili. Naye akaenda pamoja na rafiki zake, wakaomboleza kufa kwake kabla ya kuolewa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Baba yake akamruhusu aende huko kwa miezi miwili. Naye akaenda pamoja na rafiki zake, wakaomboleza kufa kwake kabla ya kuolewa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Baba yake akamruhusu aende huko kwa miezi miwili. Naye akaenda pamoja na rafiki zake, wakaomboleza kufa kwake kabla ya kuolewa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Baba yake akamwambia, “Unaweza kwenda.” Naye akamwacha aende kwa miezi miwili. Hivyo akaondoka pamoja na wenzake, naye akaulilia ubikira wake huko vilimani kwa sababu hangeolewa kamwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Baba yake akamwambia, “Waweza kwenda.” Naye akamwacha aende kwa miezi miwili. Hivyo akaondoka pamoja na wasichana wenzake, naye akaulilia ubikira wake huko vilimani kwa sababu asingeolewa kamwe.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 11:38
3 Marejeleo ya Msalaba  

Wewe ukaaye bustanini, Hao rafiki huisikiliza sauti yako; Unisikizishe mimi.


Kisha akamwambia baba yake, Basi na nifanyiwe neno hili; niache peke yangu muda wa miezi miwili, ili nipate kwenda milimani, na kuombolea ubikira wangu, mimi na wenzangu.


Basi ikawa mwisho wa hiyo miezi miwili, akarudi kwa babaye, aliyemtenda sawasawa na ile nadhiri yake aliyokuwa ameiweka; naye alikuwa hajamjua mwanamume. Kisha ikawa desturi katika Israeli,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo