Waamuzi 11:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Binti yake akamwambia, Baba yangu, wewe umemfunulia BWANA kinywa chako; basi unifanyie sawasawa na hayo yaliyotoka kinywani mwako; kwa kuwa yeye BWANA amekulipia kisasi juu ya adui zako, hao wana wa Amoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Naye akamwambia, “Baba, kama umemwapia Mwenyezi-Mungu kitu, basi nitendee kama ulivyoahidi, kwa vile sasa amekuwezesha kuwalipiza kisasi adui zako Waamoni.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Naye akamwambia, “Baba, kama umemwapia Mwenyezi-Mungu kitu, basi nitendee kama ulivyoahidi, kwa vile sasa amekuwezesha kuwalipiza kisasi adui zako Waamoni.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Naye akamwambia, “Baba, kama umemwapia Mwenyezi-Mungu kitu, basi nitendee kama ulivyoahidi, kwa vile sasa amekuwezesha kuwalipiza kisasi adui zako Waamoni.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Akajibu, “Baba yangu, umetoa neno lako kwa Mwenyezi Mungu. Nitendee mimi kama vile ulivyoahidi, kwa kuwa Mwenyezi Mungu amekupa ushindi dhidi ya adui zako Waamoni.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Akajibu, “Baba yangu, umetoa neno lako kwa bwana. Nitendee mimi kama vile ulivyoahidi, kwa kuwa bwana amekupa ushindi dhidi ya adui zako Waamoni.” Tazama sura |